Mume wangu /New kaswida ya mke wa Mugisha amuimbiya mume wake / By Aisha Ally
Ndoa ni moja mwa jambo linaloleta furaha katika maisha ya mwanaadamu au karaha isiokua na kifani. unapo pata fursa nzuri yakumpata mwenzako ambaye mnaelewana vyema,hakuna budi kumfurahisha na kumdhihirishia furaha yako kwake.tupendane wanandoa,maisha ya duniani nimafupi.