EXCLUSIVE: MAISHA YA DOGO SELE BUZA "NATAKA KUWA RAIS,UKIANZISHA NAMALIZA, NASOMA LA PILI"
Dogo Sele ni muigizaji mwenye umri mdogo sana Tanzania lakini amekuwa akiwakosha watu kwa namna anabyoigiza ambapo baada yakukaa kwenye exclusive na Ayo Tv amesema ndoto yake kubwa sio kuwa muigizaji bali anatamani baadaye awe Rais Wa TanzaniaSele ni mtoto ambaye ana umri wa miaka nane sasa hivi lakini ameanza sanaa ya uigizaji akiwa na miaka minne akisimamiwa na Steve Mweusi ambaye amekuwa akionekana sana kwenye video zake