Biubwa Amour Zahor Mwanamke mwanamapinduzi aliyeshiriki kikamilifu mapunduzi ya Zanzibar anasema licha ya madhila aliyoyapitia, anajivunia yote aliyoyafanya kwa taifa lakeEagan Salla akiwa visiwani Zanzibar alimtembelea nyumbani kwake mji mkongwe kisiwani unguja na hii ni taarifa yake. #bbcswahili #tanzania #zanzibar